Pampula jr JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 606 Reaction score 192 Jan 3, 2015 #1 jaman naombeni msaada nina mtoto ana miaka 4 na nusu lakini haongei yaani ni kama ana matatizo ya ubongo na inapoleta utata anajisaidia haja kubwA kwenye nguo bila taarifa sasa kwa anaeelewA namna ya kumweka katika hali ya usawA anisaidie
jaman naombeni msaada nina mtoto ana miaka 4 na nusu lakini haongei yaani ni kama ana matatizo ya ubongo na inapoleta utata anajisaidia haja kubwA kwenye nguo bila taarifa sasa kwa anaeelewA namna ya kumweka katika hali ya usawA anisaidie