Mtoto kuchelewa kuota jino baada ya kung'oa kwa mara ya kwanza

Mtoto kuchelewa kuota jino baada ya kung'oa kwa mara ya kwanza

Joined
Oct 17, 2017
Posts
30
Reaction score
33
Habari wanaungwana,

Mwanangu ana umri wa miaka sita sasa,lakini ameng'oa meno mawili ya mbele ya chini lakini kwa sasa ni zaidi ya miezi miwili hayajaota,tatizo ni nini au nifanye nini ili yaote?

Naomba mwenye kujua suluhisho anisaidie tafadhari
 
The tooth doesn’t have room to come in
Lack of space is the most common reason that a permanent tooth takes a while to come in after its corresponding baby tooth is lost.

We typically advise patients and their parents to wait for this situation to correct itself naturally.
 
Wa kwangu alikaa zaid ya miez 6 ndo yakaota..kuwa mpole mkuu yataota tu
 
Yataota tu,mbona una mharakisha mtoto unashida gani na meno yake.
 
Back
Top Bottom