Chris Kamlenga
Member
- Oct 17, 2017
- 30
- 33
Wengine husema ni baada ya wiki mbili tu linaanza kuota na wengine walisema linaota lenyewe pindi muda utakapofika haijalishiUliambiwa hua yanaota kwa muda gani baada ya kung'oa?
Duuuh!!miezi 6 baada ya kuanza kung'oa?Wa kwangu alikaa zaid ya miez 6 ndo yakaota..kuwa mpole mkuu yataota tu