Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Habari zenu wakuu!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu!
Hivi mtoto akiwa mkubwa akaenda kufungua kesi ya kufanyiwa kitu ambacho hajakipenda kutoka kwa mzazi wake sheria inasemaje?
Tuchukulie mfano mtoto wa kike kutobolewa masikio, pua na huko kitovuni....na mtoto wa kiume kutahiriwa.....je akifungua kesi ataweza kumtia hatiani mzazi wake au mlezi lwa kufanyia kitu ambacho hajapenda?
Sent using Jamii Forums mobile app