Je, inawezekana mtoto tumboni kugeuka akiwa na week 20 na ikawa hali ya kawaida? Kwa sababu nilipata kusikia mtoto hugeuka akiwa na miezi minane tumboni. Msaada please kama huna elimu juu ya hili jambo tafadhali usichangie.
Kuanzia wiki 36 kama hajageuka nenda hospitali. Hizo ni dalili za breech Kabla ya hapo midhali anacheza usiwe na wasiwasi. Weka diary uangalie anacheza ukila chakula gani? Akisikia sauti gani unaweza kumpa motisha.