Anadai akila kitu chochote anacheza na akilala akiangalia juu au kichalichali ndo anacheza zaidi na Leo analikua anaongea akacheka kidogo akasikia amekimbilia upande mmojaWatoto huwa wanastushwa na vitu kama mziki, chakula, nk
Mke wako aweke kumbukumbu mtoto alicheza baada ya yeye kula nini? Kusikia mziki gani?
Itamsaidika akitaka kuwasiliana na mtoto.
Ni dalili nzuri mtoto yuko activeAnadai akila kitu chochote anacheza na akilala akiangalia juu au kichalichali ndo anacheza zaidi na Leo analikua anaongea akacheka kidogo akasikia amekimbilia upande mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app