Mtoto kujishika kwenye sehemu yake ya haja ndogo

Carina

Senior Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
194
Reaction score
70
Wakuu salama,

Takribani kama wiki mbili au tatu, mtoto wangu wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu ameanza tabia ya kujishika mara kwa mara kule kwa babu wake.

Hii hutokea wakati wowote akijisikia, hata akiwa amelala na ukimvalisha kaptula ukafunga barabara utakuta ameshafungua na kujishika shika.

Tumeenda hospitali kupima kama ana UTI lakini hakuna UTI na wala kwa babu hakuna dalili yeyote ya kidonda labda kinachomuwasha.

Hii itakuwa ni nini?

Naombeni msaada wa kimatibabu na ushauri zaidi.

nawasilisha
 
kuna dokta aliniambia niwe makini sana na mtoto wangu nimuangalie ukiona mtoto ashiki nyeti zake ujue kuna tatizo mahali na wengi huwa na dalili zile japo wazazi wengi huwa hawatambui mapema.. akaenda mbali zaidi na swala la mtoto kudinda usiku.... jisni anavyokojoa.. mwanangu ana mwaka na miezi ila akiwa uchi lazima achezee mdudu wake ila najifanyaga kumwambia acha dudu hiyo ila kimoyo moyo nasema safi
 
O
Kuna minyoo flani inakaa karibu na njia ya haja kubwa inasababisha kuwashwa sehemu hizo hasa wakati wa kulala au usiku.Mikoa kama Iringa ,Mbeya na Njombe hilo tatizo lipo sana.
Nakushauri jaribu kumpa dawa za minyoo au akapime choo.
Ok nitaufanyia kazi ushauri huu ......
........
 
Ahaaaa okeeee hii nayo point ...
 
Kumbe ushapata mtoto comrade?

Hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni katika kudiscover viungo vyao vya uzazi, tena asipojishika lazima uwe na wasiwasi, na pia unatakiwa unakuwa unamuangalia je kila siku asubuhi inasimama ? Hiyo ndo inamfanya aitwe mwanaume bwana.
Hapo sawaaa
 
Tabia zingine ni za kurithi yaweza kua babake una tabia hizo au ulikua na tabia hizo! Cha kufanya uwe unamkataza tu hata ikibidi tumia ukali kidogo ili asijizoeshe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha haaa hili nalo nenoooooooooooooooo .................................................................
 
hahahahah! !! nacheka kwa furaha maana jemedali lng ana mwaka na cku io ndio mkato yake[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…