Mtoto kukaa tumboni zaidi ya miezi tisa

Mtoto kukaa tumboni zaidi ya miezi tisa

Ulirchdov

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Posts
356
Reaction score
258
Naomba kuelewesha sababu zinazofanya mjamzito kuzidisha miezi ya kujifungua nikiwa na maana kwamba kawaida mtoto hukaa tumboni kwa miezi tisa lakini nimekuwa nikishuhudia wajawazito wengi wakilalamika juu ya ujauzito wao kwamba siku za kujifungua zimefika na zikavuka pasipo dalili ya uchungu wa kujifungua, wengine hupitisha wiki au mwezi.

Mfano, kuna mama fulani tarehe yake ya kujifungua ilifika kwa mujibu wa hesabu zake lakini hakupata uchungu hatimaye wiki ikaisha, mwezi mmoja baadae ndo akajifungua na alijifungua salama kabisa.

Naomba kuuliza nini hasa kinasababisha mtoto/kichanga kukaa tumboni zaidi ya miezi tisa au zaidi ya tarehe ya kuzaliwa tofauti na tarehe ambazo mama zao wanazipigia hesabu?
 
Mara nyingi kama mama hayuko active na mtoto anakuwa mvivu tumboni.
Mtoto ame breech
 
Kuna wa kwangu amekulia kwenye tumbo la wife hadi amezaliwa akiwa baunsa na rasta kichwani!....ilibidi atolewe kwa nguvu kupitia operation!
 
Kwa kawaida mwanamke anaweza kujifungua wiki mbili kabla ya tarehe ya makadiro au wiki mbili mbele baada ya tareh ya makadiro.
Kwa hiyo ni kawaida tu kupitiliza
 
Back
Top Bottom