Mtoto kukatika kitovu

benbat

New Member
Joined
Aug 17, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Naomba mwenye kufahamu mtoto huchukua muda gani kukatika kitovu? Je. Kama kikichukua muda mrefu zaidi hata wiki tatu kuna madhala? Au haina shida?
 
Kuwa makini sana kisije katikia mbele, ngoja waje
 
Naomba mwenye kufahamu mtoto huchukua muda gani kukatika kitovu? Je. Kama kikichukua muda mrefu zaidi hata wiki tatu kuna madhala? Au haina shida?
kitovu cha mtoto kina takiwa kukatika ndan ya wiki moja. kama mtoto ana nyonyeshwa vizuri INA maana ana pata lishe na virutubisho vya kutosha kuujenga mwili wake baada ya mtoto kuzaliwa kitovu huwa kama kidonda na kupona kwa kidonda kuna kitu kina itwa wound hilling process hizi process zina enda vizuri kama mtoto ana pata maziwa ya kutosha na ana wekwa ktk hali ya USAF mda wote.

kuchelewa kukatika kwa kitofu kina weza sababisha mtoto kupata infections then fever maana kina kua kinyevu hats kuweka usaha

kitofu kinacho endelea vizuri hukauka kama kijiti na hua na rangi nyeusi then kudondoka chenyewe
 
Wanasema kikikatikia kwa mbele na kugusa sehem nyeti huwa kinaleta tatizo kwa baadae. SINA UHAKIKA NGOJA WAJE
 
Je kama mtoto keshamaliza wiki mbili na bado hakijakatika yanipasa niwe na hofu? Au ni kawaida tu ipo cku kitakatika?
 
Naomba mwenye kufahamu mtoto huchukua muda gani kukatika kitovu? Je. Kama kikichukua muda mrefu zaidi hata wiki tatu kuna madhala? Au haina shida?
inategemea ila mara nyingi haizidi wiki moja,wangu kilikatika ana siku tano,kma wa kiume kuwa makini kisiangukie kwa mzee wa kazi,jogoo hatasimama ila kwa mtoto wa kike sijui
 
Je kama mtoto keshamaliza wiki mbili na bado hakijakatika yanipasa niwe na hofu? Au ni kawaida tu ipo cku kitakatika?
Mpeleke hospital ili kuondoa hofu uliyo nayo. Ila kama sijakosea mtoto akizaliwa unatakiwa kumpeleka baada ya siku saba ili kuangalia maendeleo ya mtoto ikiwemo na kitovu. Sasa sijajua wewe kama ulifanya hivyo na kama sio hao wakunga waliokuzalisha walikushauri nini baada ya kukupa hongera?
 
Njoo PM nikupe njia za Kule kwetu kwa wazee ambao huwa wanatuelekeza kwa njia ya simu jinsi ya kutatua matatizo ya mtoto
 
Kati ya siku 7-14.....

Ingawa kuna wanaowahi

Poa msisahau sio kumgubika mtoto maguo chingu nzima.....na kusababisha hali ya unyevu/ jasho linaweza sababisha akachelewa kupona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…