Mtoto kukosa Choo

JUNIOR GONG

Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
60
Reaction score
28
Habari Wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba ushauri nn kinasababisha mtoto wa miezi mitano kukosa choo kwa muda mrefu.
 
Ondoa wasiwasi ipo siku atakunya tu! Ila kama anatumia maziwa mbadala na humpi maji, jitahidi sana kumpa maji, hata kama anatumia maziwa ya mama na maziwa mbadala kwa wakati mmoja!
 
Ondoa wasiwasi ipo siku atakunya tu! Ila kama anatumia maziwa mbadala na humpi maji, jitahidi sana kumpa maji, hata kama anatumia maziwa ya mama na maziwa mbadala kwa wakati mmoja!
Asante kwa ushauri mkuu nitauzingatia, pia ningependa kufahamu huwa inaweza kuzidi siku tano hajapata Choo??
 
Inategemea huyo mama anakuje,kama anakula mawali tuu na Maugali Mtoto Hawezipata choo.mama hakiki§ha unakula balance diet,kula matunda hasa ndizi,Tikiti,nanasi,parachich,pia kula Mboga za majani kama spinach,Parsley ,mchicha na tembele.ugali na wali kula kidogo kidogo.na hakikisha wapata glas ya mtindi kíla cku mara Mbili.fanya hvyo utaona matokeo mazuri kwa mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…