yathriba
Member
- Feb 7, 2011
- 35
- 6
Habari zenu wadau,
Mimi kuna kitu kinanitatiza. Kuna madhara gani mtoto kumlaza kifudifudi?ie. uso kuelekea chini?
Nauliza hivi kwa sababu mwanangu ukimlaza uso juu dakika 10 nyingi keshaamka lakini ukimlaza uso chini yani kifudifudi utamsahau.
Kuna madhara yoyote kiafya akilala hivi kwa muda mrefu?
Naomba msaada wenu plz.