Mtoto kulazwa kifudi fudi

yathriba

Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
35
Reaction score
6
Habari zenu wadau,

Mimi kuna kitu kinanitatiza. Kuna madhara gani mtoto kumlaza kifudifudi?ie. uso kuelekea chini?

Nauliza hivi kwa sababu mwanangu ukimlaza uso juu dakika 10 nyingi keshaamka lakini ukimlaza uso chini yani kifudifudi utamsahau.

Kuna madhara yoyote kiafya akilala hivi kwa muda mrefu?

Naomba msaada wenu plz.
 
Swali hilo hata mimi nilikuwa najiuliza, maana kwa ufahamu wangu si mtoto wako tu, nimeshashuhudia baadhi ya watoto ambao hulala kwa muda mrefu zaidi wakilazwa kifudi fudi kuliko vinginevyo. Acha tusubiri wataalam watupe jibu.
 
Nadhani kwa vile hawezi kujigeuza shuka likimfunika anaweza kukosa hewa akafa mi naona si vizuri kumlaza hivo ni hatari
 
we unaongelea mtoto...mimi mwenyewe nikilala kifudifudi utanisahau!!!
 
Angalia usije msababishia mtoto lichogo kama la kipepe
 

Style zote zinaweza kuwa na madhara...eg. ukimlaza anaangalia juu alafu ikitokea amecheuwa chakula kikatokea puani na mdomoni, kinaweza kumkaba na kumsababishia mauti...
Kwa upande mwingine, kama mtoto ni mchanga sana (shingo haijawa stiff so hawezi kugeuza shingo/kichwa mwenyewe)....ikitokea amelalia pillow na pua na mdomo zimezibwa, pia inaweza kumsababishia mauti...
kuwa makini sana kwenye hizi early stages
 
mimi siwezi kulala mpaka nilale kifudi fudi ndiyo nalala
 
Ha ha ha ha ha ha kumlaza kivipi ndo Kuna sababisha chogo ka la kipepe.

Ukimlaza sana mtoto kifudi fudi mkuu anakuwa na chogo la hataree mtoto anatakiwa lazwa kila upande nimesikia lakin wahenga wanasema sina hakika ila wapo ambao tunawaona mtoto hana komwe ilaa chogo sasa au wengine chogo hana ila komwe sasa sababu nayosikia ni swala zima la kumlaza mtoto upande mmoja tu
 

AAAAAAH wap uo ni uongo tuuu mmi mwenyewe nina CHOGOOOOH hata uyo kipepe anasubili ila nikiliuliza mlikuwa mnanilaza vip wanasema katika mtoto mtukutu kulalamm ni nambari moja yan nilikuw nala huku nimemebebwa ssa sijui ap ukweli upo wap na katika kumbukmbu zangu nmelala kwa kitanda mara moko tuku tng utotot mpaka kukomaaa ila sio kubarehe...............
 
we unaongelea mtoto...mimi mwenyewe nikilala kifudifudi utanisahau!!!

Sawa mkuu hii ni kawaida na mlalo wa wengi, hadi wazee, wala mtoto hawezi kufa kama mdau hapo juu alivyosema, kama ingekua kufa basi watoto wengi wasingekuwepo leo. Sema tu ikitokea hiyo kufa ni ajali tu, watoto wengi huwa wanalazwa kifudi fudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…