Indoraptor
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 249
- 506
Shukran mkuu kwa ushauri wako huenda ikawa suluhishoKatika mila za kiafrika mtoto ni mali ya ukoo wa baba ikiwa na maana kuna mwunganiko wa kiroho na mababu na mabibi katika familia ya Mme. Hivyo kama mmekutana na mpenzi wako mpaka mtoto akazaliwa huna budi wewe baba umpeleke kwenu na akifika tu atanyamaza au utaambiwa cha kufanya ili anyamaze. Laa sivyo kama wewe ni mlokole au huna imani za kilokole basi akili kichwani kutokana na imani yako
Ni kweli, ila imekuwa too much. je, hamna tiba ya tatizo hili?Kulia kwa mtoto mchanga ni jambo la kawaida, wala siyo homa. Hali hiyo hutokea kwa miezi michache baada ya kuzaliwa, Hali hiyo wengine hupungua kuanzia miezi sita japo wengine wanawahi kuacha kuanzia miezi miwili tu