Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
watakuja wakujibu,hata mimi nilikua na mdogo wangu alikua hivyo wa kike,ataacha lakini akikua
wataalamu wanakuja usijali ama nitamuuliza mwenzangu halafu nitakuelezaMkuu asante ila anaweza kukua afu akawa na teeth disposition si hatari hiyo
Muweke pilipili kwa kidole gumba,jeur yake itaisha.
huwa ni dalili ya njaa uchangani. Lakini kuna mahali nilisikia kuna baadhi ya watoto hunyonya kidole hata wakiwa tumboni.
Akinyonya sana ataharibu meno nakuathiri uongeaji wake, msaidie kuacha mapema
Hua ni dawa hiyo?
Inaweza ikasaidia si vibaya kujaribu, ila huko uliko (kama mtoto anaenda day care na kuwaambia waangalizi wake kwamba kidole akitia mdomoni kinamuwasha) ikibainika kwamba umefanya hivyo kasheshe lake utatamani ardhi ipasuke.
Mkuu nilimchapa akaacha kwa mda. Kutokana na shida za maisha nikampeleka child care ameiga huko ndio ananyonya ni balaa
Hoja yako ina maana kubwa sana lakini ukideal na watz majibu kama haya ni mambo ya kawaida.Huu ni msaada ama ni nini? Mi niko na tatizo we unaleta mizaha
Wanamshindisha njaa, ndio maana anajibembeleza kwa kidole.
Mmh hpn mkuu chakula bfst, luch & tea vyote naandaa home! Yani ananiudhi sana si kidogo
Hili tatizo hata wangu wa miaka 4 analo yani tabu sana tena yeye ananyonya cha mkono wa kulia halafu mkono wa kulia anashika titi lake na kulisuguasugua.yani balaa!!