Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Asantepole sana,
hizo dalili kwa kawaida huwapata watoto wadogo, na kitabibu tunaambiwa mtoto anaanza kunyonya kidole tangu akiwa na miezi 7 akiwa tumboni, hivyo usiogope ni hali ya kawaida kwa mtoto pia kama hupendi anyonye vidole unaweza pia ukamnunulia baby sweeter ili asiwe ananyonya vidole,
kuhusu kuwasha kwa fizi pia inawezekana ingawa inaweze isiwe zinawasha ila ni hali yakawaida ya mtoto kunyonya vidole vyake, na wala haina uhusiano wa kuharibu kuota kwa meno ya mtoto, ni maneno tu ya mitaani kwa wakina mama...
Hilo la mtoto kunyonya kidole na kuharibu meno yake ni kweli kabisa, lakini kwa sasa mtoto wako ni mchanga mno kuanza kuwa na wasiwasi wa hilo. Ila unaweza kujaribu kumuondoa kidole hicho kila anapokinyonya ili asijenge uzoefu wa kufanya hivyo katika siku za usoni.
kuna watoto ushaona wameharibika meno?Hilo la mtoto kunyonya kidole na kuharibu meno yake ni kweli kabisa,
si kuhasibika inasemekana meno ya juu hasa ya mlangoni hutoka nje kama ngirikuna watoto ushaona wameharibika meno?
si kuhasibika inasemekana meno ya juu hasa ya mlangoni hutoka nje kama ngiri
kama ukipaka pilipili kwenye kidole inakuaje?
kuna watoto ushaona wameharibika meno?
kama nitamvalisha socks mikononi itasaidia
Mtoa maada mimi pia pamoja na ndugu zangu kama 4 ni wahathirika wa kunyonya vidole. Do whatever you can to stop your kid. Meno hayawezi kukutana kama mtu ananyonya kidole. Yaani mimi nikikuangalia naweza kukwambia ulikuwa unanyonya kidole utotoni. Dada yangu imembidi atumie ela nyingi sana kutengeneza meno yake ya mbele kwani yeye alikuwa ananyonya kidole gumba hivyo meno yake yalianza kulegea alipofika 35 year (kidole gumba kina madhara zaidi).
Mwanagu nae alianza kunyonya kidole, kila tukienda clinic manesi wananisema kuwa itanigharimu kutengeneza meno yake akikua. Tukafanya mkakati na mume wangu tukamfunga plaster akiwa na mwaka mmoja. It worked kwani alikuwa hana akili ya kujifungua. Ukisubili akawa na akili hatahacha kamwe. Mimi wazazi walianza kunifunga plaster nikiwa na akili. Wakifunga kidole hiki nahamia kingine mpaka walichoka. Now I am blaming them they should have stopped me while I was real young. Wazazi wengi wanahacha watoto wanyonye vidole kwa sababu wanasema mtoto anaenyonya kidole alii ovyo. I am telling you do whatever you can to stop your kid.