Mtoto kunywa maji mengi kila baada ya dakika 5

Joined
Feb 16, 2016
Posts
16
Reaction score
20
Masada jamani mwanangu anaumri wa mwaka na miezi 2 kuna ili jambo utokea usiku tu yaan ni kustuka kwa kulia kwa nguvu kisha kudai maji ya kunywa.

Hili jambo utokea kila baada ya dakika 5 mpaka kunakucha mimi na mama yenu atulali kabisa itakuwa nini shida.
 
mtoto wa miezi miwili .. embu mpe nyonyo badala ya maji uone .... msikute mnamlisha vyakula ambavyo vinzmzidi nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…