Mtoto kupewa juisi na maji

Mtoto kupewa juisi na maji

Matukutuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
269
Reaction score
126
WanaJF nauliza hv ni sawa kwa mtoto wa miezi minne kupewa maji na juisi ya tikiti maji angalau mara moja kwa siku (maji kidogo sana)!
 
WanaJF nauliza hv ni sawa kwa mtoto wa miezi minne kupewa maji na juisi ya tikiti maji angalau mara moja kwa siku (maji kidogo sana)!

Huyo mtoto hayo maji na juisi aliyaomba au mmeamua tu ku complecate mambo?
 
Back
Top Bottom