P Parachichi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2008 Posts 510 Reaction score 102 Feb 14, 2012 #1 Wakuu polen na majukumu,mim mwanangu ana miaka 4,usiku huwa akiwa usingzin anatafuna meno,hv hii ni tatizo gani?na tiba yake ni nini?nawasilisha wakuu kwa ushauri.
Wakuu polen na majukumu,mim mwanangu ana miaka 4,usiku huwa akiwa usingzin anatafuna meno,hv hii ni tatizo gani?na tiba yake ni nini?nawasilisha wakuu kwa ushauri.
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,211 Reaction score 1,059 Apr 16, 2014 #2 Bado anatafuna meno?