Mtoto kutokugeuka tumboni

MsA11

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
303
Reaction score
582
Viongozi salaam!

Kama heading ilivyo. Naomba kujua sababu za mtoto kutokugeuka akiwa tumboni kwa mama wakati wa ujauzito. Inasemekana mtoto hugeuka kuanzia miezi sita ya ujauzito. Tatizo la mtoto kutokugeuka tumboni hupelekea mtoto kushindwa kutoka kwa njia ya kawaida wakati wa kujifungua na kupelekea mama kupasuliwa (operation)

Pia naomba kujua ikiwa kuna uwezekano wa kumfanya mtoto kugeuka? Kama ndio huduma hiyo hutolewa Hospitali gani au Hapa nchini

Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
labda mama wa mtoto ni mvivuuuuhahha ngoja waje...ila mtoto anaweza kugeuzwa na wataalam...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…