Barantogwa
Member
- May 3, 2014
- 77
- 64
anyonye maziwa ya mama pekeyake kwa muda wa siku 3 halafu check Maendeleo yake tenaNdugu zangu Habari za asubuhi, natumai mu wazima wa afya njema, mulio wagonjwa MUNGU akawape wepesi kwa kuwaponya.
Moja kwa Moja niende kwenye maada, nina mtoto wangu wa miezi 8 amekuwa na tatizo la kutapika kila akinyweshwa uji, maziwa au chakula chochote.
Wataramu wa malezi na Matabibu naomba msaada wenu.
Anakunywa kidogo sana yaani nusu kikombe cha robo. , ila akimaliza tu kunywa baada ya mda mfupi anatapikaMtakua mnapa chakula kupita kiasi!! Mtoto wa miezi 8 (obviously atakua ananyonya) mnakandika vikombe 6 vya uji unategea nini??
Shukrani mkuuNenda kwa daktari akuandikie dawa ya chloropromazine.
Onyo. Usimpe dawa hii bila kuandikiwa na daktari. Ni hatari kwa maisha yake hasa isipotumiwa kwa kiwango sahihi.
Miezi 8 atampa Chlorpomazine vidonge au syrup??? Kutapika ni matokeo ya ugongwa hasa kama ni tabia ambayo mtoto ameanza ghafla so kama hapati homa na kwa hii case kama mtoto anakula sana vitu vya chini au udongo.Nenda kwa daktari akuandikie dawa ya chloropromazine.
Onyo. Usimpe dawa hii bila kuandikiwa na daktari. Ni hatari kwa maisha yake hasa isipotumiwa kwa kiwango sahihi.
Ahsante mkuuMiezi 8 atampa Chlorpomazine vidonge au syrup??? Kutapika ni matokeo ya ugongwa hasa kama ni tabia ambayo mtoto ameanza ghafla so kama hapati homa na kwa hii case kama mtoto anakula sana vitu vya chini au udongo.
Ampatie
Metoclopramide syrup kisha amuangalie kwa siku 2 akiendelea kutapika amtafutie
Albendazole syrup
Pharmactin syrup.