Wanatoa kwa njia gani mkuu
Mfinye nyayoooo mpakaa alieeeHabari zenu wakuu
Kwa heshima yenu mtoto anapozaliwa asipolia ni nini madhara yake , na pia ni hatua gani za kuchukua kuweza kumsaidia
Hospital huwa wanashughulikia hiyo issue hapohapoHospital mkuu
Duh!...pole sanaNimeshapambana hospital mkuu imeshimdikana ndo mana nikaja hapa ili Kama kuna njia zingine za kienyeji nisaidiwe
Basi ulichelewa kumpeleka hospitali kujifungua au hamkuwa mkienda clinic, ni hospitali ipi na ipo wapi kama hutajali kutuambiaAlijifungulia hospital mkuu