mtoto kutokwa na mapele

air force1

Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
24
Reaction score
1
msaada jaman mtoto anatokwa na mapele kila mara mengine makubwa km jipu uchungu. hosptal akipewa dawa yanaisha baada ya mda yanatokea mengine
 
Mtafute huyu anauza sabuni za avocado kwa matatizo yote ya ngozi 0765608067
 
Avocado itaponyaje infection iliyomo ndani ya damu, badala ya kumshauri aende kwa watalaam u wa magonjwa ya watoto unamshauri sabuni ninyi mnafikiria biashara tu.

Mtafute huyu anauza sabuni za avocado kwa matatizo yote ya ngozi 0765608067
 
Nakushauri uende kwa madaktari bingwa wa maogojwa ya watoto, achana na habari za sabuni kwani mwanao atakuwa na maambukizi katika damu yake.

msaada jaman mtoto anatokwa na mapele kila mara mengine makubwa km jipu uchungu. hosptal akipewa dawa yanaisha baada ya mda yanatokea mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…