Darkhorse001 JF-Expert Member Joined Dec 19, 2020 Posts 306 Reaction score 538 Jan 17, 2024 #1 Habari ya uzima wakuu Jiran na ninapokaa, Kuna mtoto amezaliwa ila kichwa kimejaa maji (wataalamu wa afya wanaita hydrocephalus) Kwa elimu yangu. Nafahamu hawa watoto wanatibiwa Kwa kuwekewa mrija (catheter) ambayo itakua inayatoa haya maji kutoka huko kichwani Hadi tumboni. Sasa nilikuwa naulizia, huu mrija unakaa Kwa muda gan? Na pia Kuna matibabu tofauti na haya? Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya uzima wakuu Jiran na ninapokaa, Kuna mtoto amezaliwa ila kichwa kimejaa maji (wataalamu wa afya wanaita hydrocephalus) Kwa elimu yangu. Nafahamu hawa watoto wanatibiwa Kwa kuwekewa mrija (catheter) ambayo itakua inayatoa haya maji kutoka huko kichwani Hadi tumboni. Sasa nilikuwa naulizia, huu mrija unakaa Kwa muda gan? Na pia Kuna matibabu tofauti na haya? Sent using Jamii Forums mobile app