Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau hii imekaaje, mambo ya fweza au?
Wadau hii imekaaje, mambo ya fweza au?
Kipi bora kuolewa au kupiga uhuni? bora kapata mume.Wadau hii imekaaje, mambo ya fweza au?
Kwani kuna shida gani kuolewa na dingi??? kinachomatter ni mapenzi na makubaliano Bwabwa. Na fedha haihusiki hapo kabisa. au ulitaka kumuoa wewe ukajikuta umechelewa???????????????
Wanasema ng'ombe hazeeki maini,
Bode tu la mwili linazeeka lakini mapigo kama kawa mwanzo mwisho.
Kwani kuna shida gani kuolewa na dingi??? kinachomatter ni mapenzi na makubaliano Bwabwa. Na fedha haihusiki hapo kabisa. au ulitaka kumuoa wewe ukajikuta umechelewa???????????????
Baeleze ndugu yangu...tena hao ndo wataaaaamuuu kweli kweli na utulivu ulijaa na busara. Sio kama hivi vi brother men visivyojua kujali. Hata kama hana pesa pao tuu, watatafuta mbele ya safari yao. Kinachotakiwa vijana wakiume muwape vijana wakike ni utulivu wa moyo. Sio presha za hapa na pale. Khah! ndo mjifunzege sasa.Penzi halichagui mahari,usije kuta mzee ndo anayaweza mambo kuliko kijana.