Mtoto Mbichi wa Waziri Kapuya Aolewa na Dingi!

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Wadau hii imekaaje, mambo ya fweza au?
 
Attachments

  • 1267884078_imgp4118.jpg
    25.8 KB · Views: 505
  • 1267884078_imgp4122.jpg
    23.2 KB · Views: 473
  • 1267884078__mg_0565.jpg
    24.3 KB · Views: 529
Kuna watu wachokozi humu...eti mtoto mbichiii....
 
Kwani kuna shida gani kuolewa na dingi??? kinachomatter ni mapenzi na makubaliano Bwabwa. Na fedha haihusiki hapo kabisa. au ulitaka kumuoa wewe ukajikuta umechelewa???????????????
 
Kwani kuna shida gani kuolewa na dingi??? kinachomatter ni mapenzi na makubaliano Bwabwa. Na fedha haihusiki hapo kabisa. au ulitaka kumuoa wewe ukajikuta umechelewa???????????????

Wanasema ng'ombe hazeeki maini,
Bode tu la mwili linazeeka lakini mapigo kama kawa mwanzo mwisho.
 
Kwani kuna shida gani kuolewa na dingi??? kinachomatter ni mapenzi na makubaliano Bwabwa. Na fedha haihusiki hapo kabisa. au ulitaka kumuoa wewe ukajikuta umechelewa???????????????

ametoa wazo tu jamani, wala hajasema ana wivu au chuki, ni wazo lake, labda na wewe ungekuwa nalo vile vile kwa njia nyingine , so tuchangie na cio tuone jamaa aliyeleta maada kachoka kifikra

lakini mimi naona huyu mdada kakomaa na cio mbichi, au kama kuna maana nyingine ya ubichi then nitakubali------ubichi===ubikra??????
 
wacha wivu weweee acha m2 mzima afaidi damu moto
 
Huyo si m2 mzima ni kijana kabisa wa miaka 24 ila mtindo ake wa maisha ndo unamzeesha. Na hayo mavazi ni ya kizee sijui kwa nini hawa jamaa zangu wanayfagilia. Ni kwa nini hawaangalii kwa mama mkubwa!!!
 
sio mtoto wa waziri kapuya huyo ni mtoto wa ndugu yake.na pia umri sio kigezo kama wamependana ndio wao wenyewe wawili wata dili na ndoa yao.
 
Penzi halichagui mahari,usije kuta mzee ndo anayaweza mambo kuliko kijana.
Baeleze ndugu yangu...tena hao ndo wataaaaamuuu kweli kweli na utulivu ulijaa na busara. Sio kama hivi vi brother men visivyojua kujali. Hata kama hana pesa pao tuu, watatafuta mbele ya safari yao. Kinachotakiwa vijana wakiume muwape vijana wakike ni utulivu wa moyo. Sio presha za hapa na pale. Khah! ndo mjifunzege sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…