mansakankanmusa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,162 Reaction score 796 Jun 29, 2012 #1 anaharisha maziwa ya mama, tatizo ni nini tumbo linamjaa ananyonya sana
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jul 2, 2012 #2 ninakushauri mpeleke Hospitali iliyo karibu na anapoishi huyo mama mwenye mtoto mdogo pole sana.
The secretary JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 4,148 Reaction score 2,537 Jul 2, 2012 #3 mansakankanmusa said: anaharisha maziwa ya mama, tatizo ni nini tumbo linamjaa ananyonya sana Click to expand... Tumbo kujaa gesi ni kutokana na jinsi mtoto anavyowekwa wakati wa kunyonyeshwa haitakiwi kuruhusu hewa kuingia
mansakankanmusa said: anaharisha maziwa ya mama, tatizo ni nini tumbo linamjaa ananyonya sana Click to expand... Tumbo kujaa gesi ni kutokana na jinsi mtoto anavyowekwa wakati wa kunyonyeshwa haitakiwi kuruhusu hewa kuingia
mansakankanmusa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,162 Reaction score 796 Jul 5, 2012 Thread starter #4 asante mkuu,