Mtoto mchanga jamani naomba msaada

Sina pa kwenda

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
113
Reaction score
15
Habari wanajamvini natumai wote wazima, mtoto wangu wa miezi 5 anakaa siku 3 ndio anajisaidia aja kubwa naombeni msaada hii imeanza baada ya mie kuanza kazi sababu namkamulia maziwa yangu yakiisha kabla sijarudi nyumbani wanampa maziwa ya Kopo lactogen sasa sijui chanzo ni hicho msaada please.
 
Chunguza kama kwel anapewa maziwa ukiwa haupo na zaid uende hosptal uonane na daktar wa watoto.
 
je ameanza kugewa vyakula vya kawaida zaidi ya maziwa ya mama? jitahidi umuone mganga wa watoto....
 
Mimi nadhani mahali pa kwenda kupo ila hujaamua. Mabadiliko yoyote yasiyo ya kawaida inakupasa umpeleke hospital hasa kwa daktari wa watoto
 
Sikushauri utumie maziwa ya kopo. Keep pumping. The more you pump the more milk your body will produce.

Beba breast pump yako nenda nayo kazini. Nunua cooler box weka humo. Ukirudi nyumbani hamishia kwenye fridge.

Kumbuka kuandika tarehe kwenye bags zenye maziwa. Unaweza kuyafreeze but kumbuka breastmilk is only thawed once.

My son is 17 months. Sijawahi kutumia maziwa ya kopo.
 
Jarbu kumunyonyesha sana, usitumie maziwa ya kopo
 
Hapana ni maziwa tu tena mara nyingi na maziwa yangu ya kopo nimeweka incase siunajua barabara zetu hizi! bado sijamuanzishia chakula chochote, nashukuru kwa ushauri ntampeleka kwa mganga wa watoto
 
Angalia kipimo cha maziwa sababu maziwa yakizidi yanafungisha tumbo kwa watoto.
 
Halafu sikushauri ukamue maziwa yako kwenye kopo halafu wampe wakati we haupo....somthing might be wrong there...hasa lile joto lako kwa hayo madhiwa
 
Wakati nikiwepo ananyona maziwa yangu hayo ninayokamua nakuwa nimetoka kwa job maziwa yamejaa so mtoto anayonyaa huku ziwa jingine yanamwagika ukimbadilisha huku the same yanamwagika huku so napump maana yanamwagika acha yaani sipopump usiku ntajikuta mwili wote unamaziwa kitanda chote kimelowa maziwa
 
nitonye, ufafanuzi plz kuhusu avatar yako, manake imedidi nicheke mwenyewe tu

Mimi nadhani mahali pa kwenda kupo ila hujaamua. Mabadiliko yoyote yasiyo ya kawaida inakupasa umpeleke hospital hasa kwa daktari wa watoto
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…