Mtoto mchanga mafuta yanamkataa

Mtoto mchanga mafuta yanamkataa

Sangoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
344
Reaction score
165
Habari za majuku nimebahatika kupata mtoto wa kiume ck ya 21-11-2015 leo anatimiza wiki ya 3 tokea azaliwe amekuwa akipatwa na tatizo la mafuta kumkataa mara ya kwanza alikuwa anatumia dinamarious coconuts oil yakamkataa ikabidi aanze na samona na yenyewe yamegoma nimempiga kasuku yamegoma msaada ni mafuta yapi yatasaidia kuweka ngozi ya huyu mtoto sawa ImageUploadedByJamiiForums1449990008.057192.jpgImageUploadedByJamiiForums1449990024.855109.jpgImageUploadedByJamiiForums1449990038.873306.jpg
 
Habari za majuku nimebahatika kupata mtoto wa kiume ck ya 21-11-2015 leo anatimiza wiki ya 3 tokea azaliwe amekuwa akipatwa na tatizo la mafuta kumkataa mara ya kwanza alikuwa anatumia dinamarious coconuts oil yakamkataa ikabidi aanze na samona na yenyewe yamegoma nimempiga kasuku yamegoma msaada ni mafuta yapi yatasaidia kuweka ngozi ya huyu mtoto sawa View attachment 310632View attachment 310634View attachment 310635
 
Km una mda wakutosha nyumbani tengeneza mafuta ya nazi mwenyewe.Nunua nazi hata ya tatu kubwa zikune kisha chemsha na moto mdogo mdogo usitie maj mafuta yatatoka chuja weka kwenye chupa uwe unampaka akioga asubuhi na jion,sabuni muoshee ya kawaida,hakumw ulazima wa kumpaka poda sbb zingune zina madhara kwa mtoto,unapomuogesha hakikisha umemkausha vyema na taulo sehem zote za mwili ndipo umpake hayo mafuta ya nazi,Utanipa mrejesho.
 
Tumia Vaseline ngozi ya mtoto umri huo hiko sensitive sana huitaji mafuta ya ajabu ajabu.
 
Habari za majuku nimebahatika kupata mtoto wa kiume ck ya 21-11-2015 leo anatimiza wiki ya 3 tokea azaliwe amekuwa akipatwa na tatizo la mafuta kumkataa mara ya kwanza alikuwa anatumia dinamarious coconuts oil yakamkataa ikabidi aanze na samona na yenyewe yamegoma nimempiga kasuku yamegoma msaada ni mafuta yapi yatasaidia kuweka ngozi ya huyu mtoto sawa View attachment 310632View attachment 310634View attachment 310635

Kama alivosema mkuu mayname hapo juu, kitu rahisi usimpake mtoto mafuta ya dukani hadi hapo baadae Sana akikua.
Mimi watoto wangu wakiwa wachanga nawapaka mafuta ya kitimoto, sorry kama haijakaa sawa. Nimesikia PIA mafuta ya kuku.
Kama hayo ya kitimoto, nunua nyama ichemshe Yale mafuta yatie kwenye kopo lako. Hutasikia tena mtoto anatokwa na vipele.
 
Wangu ilikua hivyo nikashauliwa baby joson ya watoto lotion mkebe wa mvilingo ikamsaidia
 
Tumia aloe vera gelly tube(natural) ya forever, ni nzur sana kwa watoto, ukiwa tayar PM
 
Kuna mafuta ya Nazi yanaitwa VATIKA jaribu hayo au Tumia VASELINE BLUESEAL
 
kuwa makini kuna watu wanatangaza biashara zao na wala hawajali afya ya mwanao
 
Back
Top Bottom