gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 54
fan sio nzuri kwa mtoto,unachoweza kufanya ni kumpunguza nguo.kwani ana umri gani?
Hi
Naelewa kuna joto but pls be careful wid ur child; kumweka kwenye nepi tu is not a good idea coz watoto wachanga wakipata pneumonia its difficult almost impossible to cure them so pls b careful; AC/Fan zote mbaya an mbaya zaidi kumweka tu kwenye nepi pekee yake
I honestly do not knw what u should but i am just telling you the side effects so pls be careful or even more better seek medical/professional advice
tc
nafikiri kama kuna joto sana waweza kumuacha wazi kwa muda ule anaolia,mfute jasho kwa kitambaa chenye unyevu na umvalishe nguo nyepesi za cotton tuu.angalizo asipate baridi.
wadau wa jf, eti feni sio nzuri kwa mtoto mchanga? Nazungumzia zile (pangaboi) za juu and not stand fans! Pls naomba mnisaidie kutambua kama zina madhara,n its side effects! Jamani hata kama ikiwa ipo kwenye low speed? Mtoto wangu huwa ana sweat sana kwajili ya joto,na hii hupelekea kulia sana! Ninapo switch on fan inakuwa afadhali. Je ni sawa? Au natafuta matatizo kwa mtt? Plz help... riwa?
Kama chumba chako kina ventilation ya kutosha, nyumba yako haipo kwenye eneo lenye vumbi na unafanya usafi kwa makini, mwache mtoto apepewe na feni ikiwa low speed alale kwa amani. Feni ni bora kuliko AC.
Nimeona wote wakikushauri feni ni hatari kwa mtoto, sio hatari kihivyo, hatari kubwa zaidi ni kwa mtoto kuloa jasho, halafu jasho hilo likalowesha shuka aliolalia na hapo ndipo pneumonia inapoibukia.
Nguo nyingi za watoto wachanga zimetengenezwa kumkinga mtoto na baridi, lakini kwa jiji la Dar lenye joto, nguo hizo sio muafaka, utaona wamama wengi wame wafunga watoto kwenye baby show nzito, anatoka jasho alawesha nguo inayonyonja joto la mwilini kwa njia ya vaporization na ndio inayoleta pneumonia na sio upepo.
Mwisho amini usiamini ukimzowesha mwanao upepo, mwili wake unajiadjust kwa mazingira ya upepo na kamwe hawezi kuugua pneumonia, ila kama mtoto hakuzowea feni, ghafla ukaanza kumpuliza, mwili unaweza ku reject, ndipo utakutana na vifua vya ajabu au hata alergy.
Ushauri wangu ni uzoefu long experiance ya muda mrefu, mimi ni baba wa watoto 6!.

Mimi nilimuuliza Daktari wa watoto kabisa kuhusu kumuwashia feni mtoto na akanihakikishia kuwa feni halina madhara makubwa kwa watoto. Madhara ya feni ni kama mafua na kikohozi tena sio kwa watoto wote.
Yes umemaliza yote kaka! My daughter is 9 month now and she is duin fine! Huko leba tu unakuta wamewasha mafeni ya Juu na AC wanakuwashia ukitaka. Na wanakwambia acha mtoto apate upepo. Na hao ni madaktari see ! Hvyo tusikariri mambo ya zaman zaman kukaririshwa vitu. Asthma, pneumonia hazitokani na mafeni wala AC jamani. EPUKA KUMUWEKA MTOTO KWENYE MAZINGIRA YA JOTO KALI.Kama chumba chako kina ventilation ya kutosha, nyumba yako haipo kwenye eneo lenye vumbi na unafanya usafi kwa makini, mwache mtoto apepewe na feni ikiwa low speed alale kwa amani. Feni ni bora kuliko AC.