Mtoto mdogo mwaka mmoja na nusu maumivu wakati wa kukojoa

Mtoto mdogo mwaka mmoja na nusu maumivu wakati wa kukojoa

tedywite

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
283
Reaction score
71
Heshima kwenu wakuu tafadhali naomba kujuzwa.
Nina mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na nusu nisiku ya pili leo akianza kukojoa analia na anakojoa kidogo kidogo sijajua tatizo ni nini hasa.

Afya yake ninzuri anacheza vizuri tu nawenzake ila akitaka kukojoa anakujambio huku akilia na mkojo unamtoka polepole na hauishi haraka kwKuwa unamtoka kidogo kidogo.

Naomba ushauri.
 
Back
Top Bottom