Wataalam wa tiba naombeni msaada, mtoto mdogo wa miez kama mi4 anapata choo mara 4 kwa siku lakn choo chake kinakuwa kama kinavutika kama makamasi vile.
napanga kumpeleka hospital kesho, sio mbaya nikapata elimu kupitia hapa kwanza
Sijui unapatikana maaeneo gani mwa Tz mkuu! Kama unapatikana ukanda wa pwani,Tafuta majani ya mti uitwao Mkwambe yaoshe then yaponde na chuja,mpe vijiko 2 vya chakula kutwa x3 kwa siku 3. Au mizizi yake ichemshe na mpe kama hapo juu then utana matokeo yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.