mtoto mpe mapenzi yake na mimi nipe mapenzi yangu(my wife acharuka)

jibalance mkuu,mpe my wife wako attention anayostahili
 
kaka okoa ndoa yako,cha msingi huyo mtoto awe anawahi kulala kwa uzuri wa afya yake na ndoa yenu!
 
Heheheee....I'm a good daddy.

But according to her I'm the best daddy in the whole wide world!
I feel the same about my dad (and I know I am as right as she is).
I don't doubt her judgement, all your post on paternity are referencable. lol
 
Dah, umeweza kusoma barua ndani ya bahasha.
 
Jaribuni kumshirikisha mama katika kucheza. The best way ni kucheza, kufundishana wote wa 3. Ingawa bano naona kuna tatizo katika kichwa cha huyo mkeo.
Inaonekana kuna kitu kinamsumbue na hiyo anatoa tu sababu kucover what is going around her. Nendeni kwa mshauri
 
Huyu Mwanamama nae loh
na yeye aamue kuwa karibu na mwanae tu ,Ndio maana hata Biblia iliandika kuweni kama watoto wadogo
Mtoto unaweza kumuweka karibu kwa lugha nzuri tu ,Vijizawadi ukitoka kazini
Kupenda kumsikiliza akitaka kucheza na wewe mpe muda akuulize maswali,
Sasa wengine yote haya ataona anasumbuliwa na mwanae ,
ndo maana mtoto atakapopata vitu hivo toka kwingine ni rahisi
Kuhamisha upendo.
Kwa upande wa mkeo kuna tatizo kati ya mama na mtoto upande wa mawasiliano ndio maana anaonekana kukupenda ww zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…