loupa
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 124
- 78
Wakuu nina mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi tisa mwenye shida ya kukohoa sana, mda mwingine anakohoa hadi anatapika
Na akianza kukohoa inachukua mda wa Hadi dk 30 mfululizo bila kupoa baada ya hapo analala.
Ila akiamka hana tatizo na siku nzima anashinda vizuri mno. Naombeni ushauri Kwa aliyewahi kupitia changamoto hii au ana ufahamu na shida hii maana ametumia dawa sana ila zinafeli
Naombeni msaada wa mawazo.....