Kamasi kutoka kwa sinuses hutiririka kwenye koo wakati mtoto wako yuko mlalo, na kusababisha kikohozi ....nenda hospital kwa vipimo zaidiWakuu nina mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi tisa mwenye shida ya kukohoa sana, mda mwingine anakohoa hadi anatapika
Na akianza kukohoa inachukua mda wa Hadi dk 30 mfululizo bila kupoa baada ya hapo analala.
Ila akiamka hana tatizo na siku nzima anashinda vizuri mno
Naombeni ushauri Kwa aliyewahi kupitia changamoto hii au ana ufahamu na shida hii maana ametumia dawa sana ila zinafeli
Naombeni msaada wa mawazo.....
Safisha nyumba, fua mapazia, hakikisha nguo zinakaa sehemu yake, Huyo mtoto atakua sawa. Ni ishu ya usafi tuWakuu nina mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi tisa mwenye shida ya kukohoa sana, mda mwingine anakohoa hadi anatapika
Na akianza kukohoa inachukua mda wa Hadi dk 30 mfululizo bila kupoa baada ya hapo analala.
Ila akiamka hana tatizo na siku nzima anashinda vizuri mno. Naombeni ushauri Kwa aliyewahi kupitia changamoto hii au ana ufahamu na shida hii maana ametumia dawa sana ila zinafeli
Naombeni msaada wa mawazo.....
Ok. Nimekuelewa Sana Mtoto wangu alikuwa kila ikifikia saa nane usiku anakohoa hadi anatapika kila alichokula Ndio atapata usingizi. Mchana haumwi chochoteWakuu nina mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi tisa mwenye shida ya kukohoa sana, mda mwingine anakohoa hadi anatapika
Na akianza kukohoa inachukua mda wa Hadi dk 30 mfululizo bila kupoa baada ya hapo analala.
Ila akiamka hana tatizo na siku nzima anashinda vizuri mno. Naombeni ushauri Kwa aliyewahi kupitia changamoto hii au ana ufahamu na shida hii maana ametumia dawa sana ila zinafeli
Naombeni msaada wa mawazo.....
Huyu mtoto wachawi usiku wanakuja kumchezea inaonyesha nyumba au chumba unacho ishi kuna wachawi wanaingia usiku kumchezea ndio maana anaumwa sana usiku mwingi. Fanya hivi kwanza huduma ya kwanza unapolala usiku washa taa mahali anapo lala na kisha umuweke kipande cha kitunguu swaumu chini ya mto anapo lala.Ukitaka kinga dhidi ya wachawi wasiweze kuingia ndani ya chumba au nyumba yako nione kwa wakati wako iliniweza kukupa kinga wachawi wasiweze kuingia ndani ya chumba au nyumba yako. Auguwe pole.Wakuu nina mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi tisa mwenye shida ya kukohoa sana, mda mwingine anakohoa hadi anatapika