mtoto na mama yake iko vipi?

kama ameamua kuwa na binti basi akae mbali na mama mkwe,na kama anaona atawachanganya bora ajipanguseee mapema
 
mmh hiyo haijakaa sawa,naona hata mama hakufai kama ameweza kuyatamka hayo
 
Ndo maana maandiko yanasema: AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA, ANAFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE.

huu kwa kiswahili sanifu unaitwa UPUUZI
 
kaazi kwelikweli...mambo ya tamaa za fisi kwenye zile hadithi za zamani......
 
Sidhani kama kuna cha kushauri wakati mambo yote yako wazi!!
Hakuna Mke hapo, wala mkwe,
 
mmh hiyo haijakaa sawa,naona hata mama hakufai kama ameweza kuyatamka hayo

Umeona Queen ehhhh?

Halafu huyo naye atasimama mbele za watu ajiite mama (naona keshasahau uchungu wa labour na kila kitu kinachomfanya mtu aitwe mama au baba)...inatia kinyaa....Agrrrr......😡😡😡

Kwa mwendo huu sitashangaa na akina baba nao wakianza kuwapigia bao watoto wao wa kiume....I can't imagine nianze upuuzi wa kuwawindia my boy???? Uchafu tu....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…