Mtoto ni wa Nani sasa?

Mtoto ni wa Nani sasa?

Ctech

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
754
Reaction score
818
Assume umezaa na Mwanamke na huyo Mwanamke akaolewa na Mwanaume Mwingine je huyo mtoto sasa uhalali wake unahamia kwa huyo mwanaume mwingine au uhalali utabaki kwako?

Na je mfano wewe ukoo wako ni Shio sasa yule mwanamke ameolewa (kaolewa mtoto akiwa bado mdogo) kwenye kabila lingine labda huko Bukoba, je kabila la mtoto litakuwa lipi na ukoo wake?

Nipeni Msaada wa haraka ndugu
 
Mtoto ni damu,alie nadamu yake ndo muhusika mkuu
 
Assume umezaa na Mwanamke na huyo Mwanamke akaolewa na Mwanaume Mwingine je huyo mtoto sasa uhalali wake unahamia kwa huyo mwanaume mwingine au uhalali utabaki kwako?

Na je mfano wewe ukoo wako ni Shio sasa yule mwanamke ameolewa (kaolewa mtoto akiwa bado mdogo) kwenye kabila lingine labda huko Bukoba, je kabila la mtoto litakuwa lipi na ukoo wake?

Nipeni Msaada wa haraka ndugu

Sikujui ila kwa maelezo yako haya tu unaonekana una historia kubwa na nzuri sana ya ' Kuchapiwa / Kugongewa ' Mademu zako halafu hata Kisaikolojia kupitia uandishi wako huu unaonakana ni Mtu wa kuonewa onewa na kupelekeshwa mno na Wanawake zako.

Na Wewe utakuwa ni Mtu wa kutoka kama siyo Kagera basi Kigoma au Singida au Dodoma kwa Warangi ambako ndiko kumejaa Watu ' Washamba / Mambwiga ' wa Kutukuka.
 
Acha Kuongea upumbavu go direct to the point....SHOGA wewe!
 
Kabila halibadiliki,udini wa muhusika utaendelea ata kama mimba ni y cku moja akaolewa nayo.
Wanawake wengi wakiolewa wakiwa na Mtoto au Mimba humpa Mtoto udini wa Mume anaye ishi naye ili kuondoa Maswali mengi pia kumpa heshima Mumewe
 
umejibu vema kabisa, sasa kwa mfano huyo mtoto kapewa ubin wa mume wake wa wakat huo je huyo mtoto akikua atafaa kuoa/kuolewa na mtu wa ubin wa baba yake wa kambo?
 
Ni hapana,aisee huwa ni patashika ya nguo kuchanika pindi mtu anadai kuonyeshwa Baba halali huwa wanakujaga kugundua sijui kuna siri gani kuna watoto walionyeshwaga mpaka kaburi la Baba yao ila bado wakawa wanamsaka Baba yao .
Kweli bwanu MUNGU si asumani wakampata ila ili kuwa too late mwezi na nusu MUNGU akamchukua. Siyo kwa maombolezo Yale.
Mwisho wa yote hii siyo sahihi kuficha Mtoto Mzazi wake
 
Biology ni biology tu lakini baba ni yule anaetoa mahitaji na anayeonesha upendo kwa mtoto..
Makabila na dini hivyo ni vitu ambavyo binadamu tumejiwekea lakini sisi sote origin yetu ni moja..

Wewe usitegemee umpe binti mimba umtelekeze then baada ya miaka 20 uende kudai mtoto eti kisa DNA yako na yake vinamatch 99.99% ... uhusiano wa baba na mtoto ni zaidi ya hizo DNA ....
Upendo na malezi ndio uhusiano wa ukweli
 
Swala mtambuka hili, Mtoto siyo mali ni nafsi hai. Mtoto ni wayule aliyemzaa biologically,lakini socially anaweza kuwa wa yule aliyemlea.
Fikiria hivi,umetupia harage kavu kwenye shamba la karanga,mwenye karanga anaamua kutoling'oa,anapalilia na kunyweshea mpaka linazaa maharage. Je ni nani mwenye haki na hayo mazao? Halafu fananisha na kesi hiyo ya kuoa mjamzito au kutelekeza mtoto hai. Kautamaduni wale aliokuwa nao ni dada na kaka zake ingawa kibayolojia wanaweza kuwa dada/kaka nusu. (Kwa mama)
 
Kwa nini mtoto apewe kabila ya baba?
Mama mhehe, baba mchaga, mtoto anapewa kabila ya baba. Sio sawa. Haya ni mapokeo yasiyo na tija.
Mtoto ni mchanganyiko wa damu mbili hapo.hehe+ chaga.
 
Back
Top Bottom