Mtoto ni damu,alie nadamu yake ndo muhusika mkuuAssume umezaa na Mwanamke na huyo Mwanamke akaolewa na Mwanaume Mwingine je huyo mtoto sasa uhalali wake unahamia kwa huyo mwanaume mwingine au uhalali utabaki kwako?
Na je mfano wewe ukoo wako ni Shio sasa yule mwanamke ameolewa (kaolewa mtoto akiwa bado mdogo) kwenye kabila lingine labda huko Bukoba, je kabila la mtoto litakuwa lipi na ukoo wake?
Nipeni Msaada wa haraka ndugu
sure?Mtoto ni damu,alie nadamu yake ndo muhusika mkuu
Assume umezaa na Mwanamke na huyo Mwanamke akaolewa na Mwanaume Mwingine je huyo mtoto sasa uhalali wake unahamia kwa huyo mwanaume mwingine au uhalali utabaki kwako?
Na je mfano wewe ukoo wako ni Shio sasa yule mwanamke ameolewa (kaolewa mtoto akiwa bado mdogo) kwenye kabila lingine labda huko Bukoba, je kabila la mtoto litakuwa lipi na ukoo wake?
Nipeni Msaada wa haraka ndugu
Acha Kuongea upumbavu go direct to the point....SHOGA wewe!Sikujui ila kwa maelezo yako haya tu unaonekana una historia kubwa na nzuri sana ya ' Kuchapiwa / Kugongewa ' Mademu zako halafu hata Kisaikolojia kupitia uandishi wako huu unaonakana ni Mtu wa kuonewa onewa na kupelekeshwa mno na Wanawake zako.
Na Wewe utakuwa ni Mtu wa kutoka kama siyo Kagera basi Kigoma au Singida au Dodoma kwa Warangi ambako ndiko kumejaa Watu ' Washamba / Mambwiga ' wa Kutukuka.
thank youYeah,ndo ilivyo hata kisheria na kibiolojia
umejibu vema kabisa, sasa kwa mfano huyo mtoto kapewa ubin wa mume wake wa wakat huo je huyo mtoto akikua atafaa kuoa/kuolewa na mtu wa ubin wa baba yake wa kambo?Kabila halibadiliki,udini wa muhusika utaendelea ata kama mimba ni y cku moja akaolewa nayo.
Wanawake wengi wakiolewa wakiwa na Mtoto au Mimba humpa Mtoto udini wa Mume anaye ishi naye ili kuondoa Maswali mengi pia kumpa heshima Mumewe
Ni hapana,aisee huwa ni patashika ya nguo kuchanika pindi mtu anadai kuonyeshwa Baba halali huwa wanakujaga kugundua sijui kuna siri gani kuna watoto walionyeshwaga mpaka kaburi la Baba yao ila bado wakawa wanamsaka Baba yao .umejibu vema kabisa, sasa kwa mfano huyo mtoto kapewa ubin wa mume wake wa wakat huo je huyo mtoto akikua atafaa kuoa/kuolewa na mtu wa ubin wa baba yake wa kambo?