Utoe mimba kisa mtoto ana kichwa kikubwa?To be honest bora huyu mtoto kupumnzika. Kwanza nilikuwa najiuliza hawakuona kwenye Ultra Sound ?Maana wangeweza kuterminate mimba. Sleep easy baby. 🥲
Tatizo mabinti wa 2000 hawataki kabisa kutumia folic acid.halafu mtu ananza clinic mwezi wa sabaTo be honest bora huyu mtoto kupumnzika. Kwanza nilikuwa najiuliza hawakuona kwenye Ultra Sound ?Maana wangeweza kuterminate mimba. Sleep easy baby. 🥲
Wa kulaumiwa ni mama yake.hakutumia folicUtoe mimba kisa mtoto ana kichwa kikubwa?
Kwa sheria ya Tanzania kama mimba haihatarishi usalama wa mama sheria inabana kidogoTo be honest bora huyu mtoto kupumnzika. Kwanza nilikuwa najiuliza hawakuona kwenye Ultra Sound ?Maana wangeweza kuterminate mimba. Sleep easy baby. 🥲
Mhmm kwamba sababu ni hiyo tu?Wa kulaumiwa ni mama yake.hakutumia folic
Inashangaza kwa kweliMhmm kwamba sababu ni hiyo tu?
Sasa defects zingeonekana miezi 5 ya mimba. Na kuna time MaDr wanasema ukweli wao kuwa huyu mtoto hata akizaliwa hawezi ishi sana.Then wazazi wanaulizwa.Ila uamuzi wa mwisho ni wa wazazi.Kwa sheria ya Tanzania kama mimba haihatarishi usalama wa mama sheria inabana kidogo
Vile vidonge vya mia mia?Inashangaza kwa kweli
Kwa mujibu wa yeye inaonekana sababu ni folic acid tu
Madaktari ukweli watausema ila mikono yao itafungwa kisheriaSasa defects zingeonekana miezi 5 ya mimba. Na kuna time MaDr wanasema ukweli wao kuwa huyu mtoto hata akizaliwa hawezi ishi sana.Then wazazi wanaulizwa.Ila uamuzi wa mwisho ni wa wazazi.
Zipo nchi zinaruhusu termination kwa severe congenital abnormalities.Utoe mimba kisa mtoto ana kichwa kikubwa?
Ndiio bossMhmm kwamba sababu ni hiyo tu?
Basi sawa.Ndiio boss
Ndio.wanawake wengi hawataki kutumia maana vinatesa SanaVile vidonge vya mia mia?
Tuambie wewe sababu ni nini basi kipenziInashangaza kwa kweli
Kwa mujibu wa yeye inaonekana sababu ni folic acid tu
Hivi dingi ndio huyo dogo hapo?Dogo apumzike tu maana alikua asha anza kufanywa shuhuli , dingi mwenyewe msanii pale alikuw kima sihara
Ndio yeye na mke mfuniko na pipa.kuna wa kumshauri mwenzie hapo?Hivi dingi ndio huyo dogo hapo?