Inahuzunisha sana! Mtoto yupo tumboni hana ili wala lile kwanini utoe mimba kisa ni mgonjwa! Bora azaliwe afe mwenyewe tofauti na hapo ana haki ya kuishi.Huyo jamaa aliyekoment ni mpumbavu , autism haimzuii mtoto kuishi
Hauko fair kabisa .kuwa na huruma na kiumbe kisicho na hatiaUnachekeshaπ
Zamani hata hizo folic acid hazikuwepo na tulizaliwa.Ninavyojua ni hivi
Sio kila mzazi alitumia Folic Acid...na watoto wanazaliwa wakiwa sawa tu
Mimi nikipata ujauzito nitatumia folic acid hiyo ni lazima, mwanzo sikutumia sababu hospital sikupewa na sikuzijua.Hauko fair kabisa .kuwa na huruma na kiumbe kisicho na hatia
Wazazi wenyewe hawazijui hizo folic acid na wao hawakuzitumia.Folic ni bure. Mabinti wa siku hizi wanakosa miongozo ya wazazi wao. Mashauzi mengi, hawataki kutumia dawa.
Na hili janga la vipodozi we subiria tu miaka michache ijayo tutapata majibu. Pia kuna hizi supplement zinauzwa kama njugy watu wanabwia tu sijui kaa hata serikali ina taarifa.Kuna hospital hawatoi folic acid, hata mimi sizijui na sijawahi kunywa ila nimepata mtoto mzima.
Baadhi ya vipodozi vinachangia kuzaa watoto wenye mapungufu hasa zenye ingredients za ant aging
Ni vyema kuonana na mshauri wa ngozi ili kuangalia bidhaa mama anazotumia ni sahihi au upewe zilizo sahihi au mjamzito afocus tu kwenye mafuta ya mgando.
Na folic acid ili iwe effective unatakiwa uanze 3 months before kupata mimba, sasa wabongo kwa mimba zetu za bahati mbaya wangapi wanajiandaaga?Ninavyojua ni hivi
Sio kila mzazi alitumia Folic Acid...na watoto wanazaliwa wakiwa sawa tu
Sio zamani tuZamani hata hizo folic acid hazikuwepo na tulizaliwa.
Siku hizi mfumo wa kula sio mzuri jumla na vipodozi tunavyotumia ndo maana folic acid ni muhimu.
Wengine wanatumia folic acid na watoto wanatoka na matatizo.
Vipodozi ni janga lingine ila watu ngozi zinavyoteleza we utamani?πNa hili janga la vipodozi we subiria tu miaka michache ijayo tutapata majibu. Pia kuna hizi supplement zinauzwa kama njugy watu wanabwia tu sijui kaa hata serikali ina taarifa.
Hapo umenena!Sio zamani tu
Wakati huu huko vijijini wanawake hawajui folic acid ni nini
Vichaa wanapata mimba,wanazaa bila shida yoyote kwa mtoto
Miss Natafuta anaamua kubisha tu
Ushasema zamaniZamani hata hizo folic acid hazikuwepo na tulizaliwa.
Siku hizi mfumo wa kula sio mzuri jumla na vipodozi tunavyotumia ndo maana folic acid ni muhimu.
Wengine wanatumia folic acid na watoto wanatoka na matatizo.
Endelea kubet tuSio zamani tu
Wakati huu huko vijijini wanawake hawajui folic acid ni nini
Vichaa wanapata mimba,wanazaa bila shida yoyote kwa mtoto
Miss Natafuta anaamua kubisha tu
Ndo maana nikakwambia folic acid ni kwa wale ambao hawapati balance diet.Ushasema zamani
Zamani walikula chips na mikuku hii??
Michapati na mikeki yenye michemical?
Mivyakula yenye soy sauce za kichina?
Mavipodozi feki na masabuni ya ovyo
Endelea kubet tu kipenzi.ila hauko fair
Na folic acid ili iwe effective unatakiwa uanze 3 months before kupata mimba, sasa wabongo kwa mimba zetu za bahati mbaya wangapi wanajiandaaga?
Kwahiyo sio kwamba kila asiyetumia anapata mtoto mlemavu mbona hospitals zisingetosha.
Yaani mkuu vinatamanisha mnoo π€£π€£π€£π€£ kuna supplements kuna mtu anatumia jamani amenoga hatari, ilibaki hivi ninnue nilivo google madhara yake nikapumzika πVipodozi ni janga lingine ila watu ngozi zinavyoteleza we utamani?π
Bado kuna madaktari wanawabinjua mikono, miguu mara wafinye ubongo wakati wa kujifungua usisahau na hapoEee mungu nijalie wangu azaliwe salama maana vidonge vya damu na folic acid nilazima nimsimamie anywe ndo niende kazini yani nko serious kwa hlo
Allah ya allamBado kuna madaktari wanawabinjua mikono, miguu mara wafinye ubongo wakati wa kujifungua usisahau na hapo
Safi sana mkuuEee mungu nijalie wangu azaliwe salama maana vidonge vya damu na folic acid nilazima nimsimamie anywe ndo niende kazini yani nko serious kwa hlo
Ahaa sawasawa.Ana maanisha vidonge vya folic acid