Kuzuia hayo yote na usumbufu mtandaoni wanawake mezeni dawa miezi mitatu kabla ya kushika mimba na baada ya kushika hadi kujifungua folic hizo na nyingine.....huzurien clinic kabla hatamimba haijatungishwa
Congenital anomalies zipo nyingi sana. Hizo ulizozitaja ni common kwenye mazingira yetu. Kuna Patau syndrome ipo ila ukiwa mtumishi wa afya inawezekana ukakutana nazo.