Moronight walker JF-Expert Member Joined Aug 3, 2021 Posts 3,103 Reaction score 4,704 May 31, 2023 #21 Waambi said: Mama akikuthibitishia kuwa mtoto si wako na anapofikisha miaka.10 anambadilisha na jina ufanyeje? Ikizingatiwa siku zote ulikuwa na wasiwasi? Click to expand... Kadai fidia mahakamani
Waambi said: Mama akikuthibitishia kuwa mtoto si wako na anapofikisha miaka.10 anambadilisha na jina ufanyeje? Ikizingatiwa siku zote ulikuwa na wasiwasi? Click to expand... Kadai fidia mahakamani
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Jun 15, 2023 #22 Kadai fidia ya matunzi uliyotoa kwa mtoto ukijua ni wako ila kabla kapime DNA update uhakika