Mtoto tangu kuzaliwa mpaka sasa miaka 6, ana kitambi kidogo.

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,155
Reaction score
35,683
Jamani, nina mtoto wa best wangu ana umri wa miaka 6, ila tangu kuzaliwa (makuzi) alitoka kijitambi kidogo.
Cha ajabu mpaka sasa ana miaka 6 bado ana kitumbo kilichotokeza.
Hata kama hajala.
Ana afya nzuri tu ila hko kijitambi.

Jamani, ni nini hiki?
Tiba ni nini?
Riwa, Lasikoki na MziziMkavu...naombeni ufafanuzi.
Alamsiki.
 
Last edited by a moderator:
Jioni njema Bi.MadameB ; Kwanza tumombee dua'a Mwez'Mungu amkuze na ampe afya bora mototo wetu huyo.Amin Lamuhimu hapo ni kumpa motto huyo chakula (healthy food) na siyo kuachwa mda mrefu bila mloo !! chukueeni ushauri wa clinic. Mubarikiwe/ Alamsiki
 
Amina life is Short.
Nitamuelekeza.
 
Last edited by a moderator:
Najua hapo mtaalamu yupo ameshaitwa atatoa dozi ama tiba mbadala
 
Watajwa hapo juu , mkuje huku faster to save this. Urgent please Docs
 
Amina life is Short.
Nitamuelekeza.
noworry mkuu, wajua Binti M.

Watoto wakipewa care nzuri ya uhakika hata Dola/Taifa linakuwa katika daraja ya kupanda juu na ukuaji kimaendeleo..!! samahani na wazazi wanakuwa hawana misongo. Time yao hutumika kwa mipango mingine. Otherwise...With deep regrates utamaduni wetu na Viongozi wa nchi kipaumbele chetu sii vizazi bora,,,!
 
Jamani, nina mtoto wa best wangu ana umri wa miaka 6, ila tangu kuzaliwa (makuzi) alitoka kijitambi kidogo.
Cha ajabu mpaka sasa ana miaka 6 bado ana kitumbo kilichotokeza.
Hata kama hajala.
Ana afya nzuri tu ila hko kijitambi.

Jamani, ni nini hiki?
Tiba ni nini?
Riwa, Lasikoki na MziziMkavu...naombeni ufafanuzi.
Alamsiki.
Mtoto kuwa na kitambi sio maumbile ana maradhi yaliyojificha tumboni mpeleke Hospitali ya Muhimbili wakamchunguze iweje mtoto awe na kitambi?kulikoni.................
 
noworry mkuu, wajua Binti M.

Watoto wakipewa care nzuri ya uhakika hata Dola/Taifa linakuwa katika daraja ya kupanda juu na ukuaji kimaendeleo..!! samahani na wazazi wanakuwa hawana misongo. Time yao hutumika kwa mipango mingine. Otherwise...With deep regrates utamaduni wetu na Viongozi wa nchi kipaumbele chetu sii vizazi bora,,,!

Amina mkuu.
Ni kweli, mtoto akiwa na afya njema hata Taifa, jamii na familia pia huona fahari.
 
Mtoto kuwa na kitambi sio maumbile ana maradhi yaliyojificha tumboni mpeleke Hospitali ya Muhimbili wakamchunguze iweje mtoto awe na kitambi?kulikoni.................

Amina mkuu.
 
Riwa, lasikoki, Zamu yenu, lady doctor unatakiwa pande hii
 
sababu kuu 8 (8F's) zinazoweza kusababisha tumbo kuwa kubwa..
-Fat
-Fluid
-Feces(endapo kuna bowel obstruction)
-Fetus(endapo anamimba,bila shaka hana sabab ni mtoto)
-Flatus
-Fibroid
-Full bladder
-Fatal tumor
nashauri aende hospitali wakamfanyie imaging
 
Asante mkuu Godwinnko.
Nitampatia message yako hii ili aisome.
Asante.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom