Jioni njema Bi.MadameB ; Kwanza tumombee dua'a Mwez'Mungu amkuze na ampe afya bora mototo wetu huyo.Amin Lamuhimu hapo ni kumpa motto huyo chakula (healthy food) na siyo kuachwa mda mrefu bila mloo !! chukueeni ushauri wa clinic. Mubarikiwe/ Alamsiki
noworry mkuu, wajua Binti M.Amina life is Short.
Nitamuelekeza.
Mtoto kuwa na kitambi sio maumbile ana maradhi yaliyojificha tumboni mpeleke Hospitali ya Muhimbili wakamchunguze iweje mtoto awe na kitambi?kulikoni.................Jamani, nina mtoto wa best wangu ana umri wa miaka 6, ila tangu kuzaliwa (makuzi) alitoka kijitambi kidogo.
Cha ajabu mpaka sasa ana miaka 6 bado ana kitumbo kilichotokeza.
Hata kama hajala.
Ana afya nzuri tu ila hko kijitambi.
Jamani, ni nini hiki?
Tiba ni nini?
Riwa, Lasikoki na MziziMkavu...naombeni ufafanuzi.
Alamsiki.
noworry mkuu, wajua Binti M.
Watoto wakipewa care nzuri ya uhakika hata Dola/Taifa linakuwa katika daraja ya kupanda juu na ukuaji kimaendeleo..!! samahani na wazazi wanakuwa hawana misongo. Time yao hutumika kwa mipango mingine. Otherwise...With deep regrates utamaduni wetu na Viongozi wa nchi kipaumbele chetu sii vizazi bora,,,!
sababu kuu 8 (8F's) zinazoweza kusababisha tumbo kuwa kubwa..
-Fat
-Fluid
-Feces(endapo kuna bowel obstruction)
-Fetus(endapo anamimba,bila shaka hana sabab ni mtoto)
-Flatus
-Fibroid
-Full bladder
-Fatal tumor
nashauri aende hospitali wakamfanyie imaging