Mtoto: Uamuzi au "ajali ya starehe".

introvert

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,372
Reaction score
2,420
I have small-tiny-mini questions.

Hivi, kabla ya kupata mtoto, mliamua "sasa kifuatacho, tutengeneze mtoto" au ilikua tu ni ajali ya starehe yaani "bahati mbaya"?
Kama mlifanya uamuzi, inamaanisha mlijiandaa kwa mambo kama shule, nguo, hospitali.. Ili mtoto aishi maisha mazuri. Maana huwezi kusema mnapenda kuwa na mtoto afu msiweze kumpeleka shule, hospitali etc. Utakuwa umemleta duniani ateseke tu na unaongeza umaskini nchini.

Mfano, leo hii ukitaka ku-adopt utakuwachecked from your history to financial status, ila ukiamua kuwa na mtoto kwa kuzaa na mtu no one checks your financial status, history etc. Je kuwe na body inayoruhusu how many children unaruhusiwa kuwa nao? Au ni haki ya kila mtu kuzaa idadi ya watoto anaotaka?

I think, matokeo ya kila mtu kuzaa bila kujali na kuwa irresponsible inaleta watoto wa mitaani among other problems. Chukulia kwamba tuko 20 katika kijiji na tuna kisima cha maji kinachotosheleza watu 25. Hii inamaanisha tusipocontrol our birth rate na in a time tukawa watu 40 basi tutakuwa na uhaba wa maji na matatizo mengine. Hivyo basi tujenge visima vingine 45 kabla ya kuwa na watoto 40.

On the other side, kama ilikua ni "bahati mbaya" na mnaona kuwa hamna uwezo wa kumjali huyo mtoto kwa nini hamku-abort? Au you risked it, hoping things will turn out ok. If things did not turn out ok, should you not apologize to your kid for the mess you got her/him into? Kwenye "bahati mbaya" akiwa mmoja sawa, lakini "bahati mbaya" tano hapo kuna tatizo.

Halafu, is it a must kuwa na mtoto/watoto? I ask this kwa sababu mtu anaweza kukuuliza "how many kids are you guys going to have?" ukimjibu "we are most probably not going to have any or we might adopt one". The next thing unaitwa pembeni na kuulizwa kama una matatizo ya uzazi..

Kwa nini tusiadopt kwa sababu watoto wako wengi tu wanaohitaji wazazi wa kuwajali. Au "upendo wa kweli" uko kwa your biological kid(s) tu? Au hawa wengine hatutawapa "upendo wa kweli"?

Ok lastly, kama mmefanya uamuzi wa kuwa na say watoto 3, kwa nini watu hawafungi uzazi after that and wanaruhusu chances za hizi "bahati mbaya"?

I Just think the decision of having a kid(s) should not be taken lightly. We should not have kids because its trendy/cultural to do so. Tujue tunachokifanya na tuwe responsible la sivyo tunawaleta hawa watoto wateseke tu hapa duniani.
 
Unauliza au unatoa ushauri?
Mtoto wa kwanza mara nyingi ni pasipo kupanga; wanaopanga ni wachache na naamini wana mapungufu ya kimapenzi. Ukishakuwa na mpenzi wako na tayari mna mtoto mmoja ndo mnaanza kujadiliana kupata mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…