Tell me why one needs a court order to have a genetic test done?
Mkuu nakupa pongezi kwa hili, wengi hawawezi, pia namshauri ndugu hapo juu baada ya kusoma hii post aachane na habari ya dna kitanda huwa hakizai haramu ,mtoto ni wako huyo we lea tuMkuu hilo wala lisikusumbue hata mimi nilikuwa na tatizo kama hilo la kuwa na wasi wasi na mtoto lakin nikajiuliza mbona wazungu wana adopt watoto ambao siyo wao?jast take it easy endelea kumpa mtoto malezi mtoto akikua
akwiita tu baba kuwa baba wa mtoto ni malezi siyo kutia mimba.kuzaa siyo kazi kulea ndo kazi so kama umeweza kulea basi wewe ndo baba.
Migiro ni husband siyo mzazi.<br />
<br />
Ni Asha Rose Mingiro....hiyo Mingiro ndio imefuta utata.
.
Itafika siku ukitaka kununua mchele zaidi ya gunia moja upewe court order kwanza!
Mkuu hilo wala lisikusumbue hata mimi nilikuwa na tatizo kama hilo la kuwa na wasi wasi na mtoto lakin nikajiuliza mbona wazungu wana adopt watoto ambao siyo wao?jast take it easy endelea kumpa mtoto malezi mtoto akikua
akwiita tu baba kuwa baba wa mtoto ni malezi siyo kutia mimba.kuzaa siyo kazi kulea ndo kazi so kama umeweza kulea basi wewe ndo baba.
una hakika dna inasema kweli??kwa taarifa yako inategemea na jamaa aliyempa mimba kama damu ni group moja na wewe mtoto ataonekana ni wako,bora kukubali yaishe
Du! mlikubali vipi kudharirishwa hivy0! yaani jamaa jamaakauchuna kwa miaka 14 na ushee..na kaibuka mwaka wa 15 kudai mtoto eti nanyi mkamruhusu kiulainii! Km ni kweli basi mke wako hakuwa mwaminifu ulupokuwa unamwoa na hata ulipokuwa unaishi naye..na usishangae utakapoambiwa na third born si wa kwako!!! Na huyo mtoto ambaye ameishi nawe kwa miaka yote hiyo atawezaje kuanza maisha mapya ugenini..km si kumsababishia mateso ya kisaikolojiaNenda kapime DNA kwa nini ukae na wasiwasi muda wote wa maisha yako?
Kuna ndugu yangu wa karibu sana alimwoa mama mmoja na mimba akaambiwa ni ya kwake. Baada ya miaka kama 15 mama akamgeuzia kibao na kumwambia yule first born siyo wa kwake na baba halisi alikuja kumchukua. Kwa kweli tulisikia uchungu sana maana ilikuwa ni kama kudhalilishwa hivi.
inawezekana hata mama mtoto anaumiza kichwa hajui huyo mtoto ni wa nani haswa,kati ya wewe na hao shareholders wenginejaman mwenzenu nahisi nimesingiziwa mtoto maana nafanana nae vidole tu, nahisi hio ni coincidence.... Mana huyu mama yake hakuwa mtulivu sna... People!!!!!!! DNA ya bei rahisi ni sh. Ngapi?