una hakika dna inasema kweli??kwa taarifa yako inategemea na jamaa aliyempa mimba kama damu ni group moja na wewe mtoto ataonekana ni wako,bora kukubali yaishe
Naomba nitofautiane na nyie wote juu ya hili, na namuuliza Bayo wewe umetahiriwa? kama hapana, na je wewe huwa unacheat? kama ndiyo basi wala usifanye DNA manake kuna hiki kitu hapa ullichukua sperm ya mwanaume mwingine kutoka kwa demu wako kwa njia ya penis yako, ukaja kuiweka kwa mkeo pasi wewe kujua wakati ulipokuwa unajamiiana naye. hii ina scientific proof.
kwa sasa wamekataza mpaka uwe na karatasi toka mahakamani, maana ilipoingia hadi waliogombana tu walienda kupima watoto kukomoana, na kweli walikuta wengine sio wa baba huyo
Hahahahaha, gfsonwin umeniacha hoi! Naomba utuwekee hiyo scientific evidence basi, halafu tupige na hesabu ya probability.
jaman mwenzenu nahisi nimesingiziwa mtoto maana nafanana nae vidole tu, nahisi hio ni coincidence.... Mana huyu mama yake hakuwa mtulivu sna... People!!!!!!! DNA ya bei rahisi ni sh. Ngapi?
mmh! unataka nifungwe manake ndo tunaiandikia ili iwe published soon, so siruhusiwi kuiweka hapa link yake mpaka imemalizika. but that is true hata kwa kufikir tu. Hivi unajua action ya penis? basi erected penis functions like a sunction pump. yaani huwa inafyonza na ikifikia wakati inataka kumaliza kazi basi huwa inatema kwa kupuliza kama hii pump. sasa kama mwanaume haja tahriwa huwa possibility ya kuficha chochote ndani ya govi lake. kama atakutana na mwanamke kahaba ambaye katoka kufanya ngono labda masaa kadhaa yaliyopita basi uwezo wa mwanamke kuwa sperm za mwanaume aliyepita ndani ya via zake kisha zikafyonzwa na penis ya mwingine na huyu anayefyonza akaenda kuzimwaga kwa mwanamke mwingine. Yaani uume ni transporting medium nzur sana ya sperm from one individual to another.
kwahiyo tukianza kuwaita magovi TRANSPORTERS tutakuwa tumewatendea haki?haya TRANSPORTERS njooni muone habari hii!
mlee mtoto kwani hujui karibia kila familia ina mtoto wa nje ya ndoa?????????????
Kwanini um suspect mke wako kukuletea mtoto sie. Fanya uchunguzi wa kisayansia. Pia umesema, huyo mkeo hajatuli, umeoa mke ambae hajatulia unategemea akuletee nini kama si hicho alichokuletea?. Huo ni uzembe wako mwenyewe.
nikuambie kitu,hata wanawake wenyewe hawajui baba halisi wa mtoto wanabaki wanaoteaotea!ukitaka ujue ukweli wa hilo jambo ktk ndoa ya wanandoa waliotulia mwanamke hawezi sema exactly siku gani ndio mimba iliingia,hivyo ingekuwa anatoa kwa wanaume tofautitofauti asingemjua exactly nani kamtia mimba,hivyo basi wanawake wanakupa ubaba kutokana na faida anazohitaji wakati huo!nakaribisha maswali
Malaria unapima kwa Court Order, duh.Wewe acha tu! Badala ya kurahisisha mambo sisi tumeegemea kwenye kufanya yawe magumu.
Nenda kapime DNA kwa nini ukae na wasiwasi muda wote wa maisha yako?
Kuna ndugu yangu wa karibu sana alimwoa mama mmoja na mimba akaambiwa ni ya kwake. Baada ya miaka kama 15 mama akamgeuzia kibao na kumwambia yule first born siyo wa kwake na baba halisi alikuja kumchukua. Kwa kweli tulisikia uchungu sana maana ilikuwa ni kama kudhalilishwa hivi.
jaman mwenzenu nahisi nimesingiziwa mtoto maana nafanana nae vidole tu, nahisi hio ni coincidence.... Mana huyu mama yake hakuwa mtulivu sna... People!!!!!!! DNA ya bei rahisi ni sh. Ngapi?
tell me why one needs a court order to have a genetic test done?