jaman mwenzenu nahisi nimesingiziwa mtoto maana nafanana nae vidole tu, nahisi hio ni coincidence.... Mana huyu mama yake hakuwa mtulivu sna... People!!!!!!! DNA ya bei rahisi ni sh. Ngapi?
hii kesi nzito, ndo maana madingi wengine huwa wanatembea na mabint zao, kiukweli hao huwa hawawi mabint zao ila baada ya kujua mtoto sio wake anapunguza machumgu kwa njia hiyo na hata mama wa mtoto akisikia anashindwa kuwa mkali...nimeona kwa mzee flan mbeya anakaa sai, anabutua binti ake..............