Mtoto wa Amin amfagilia Nyerere

Hamjambo ndugu zangu wa jamii forum
Yawezekana anauwania urais wa uganda ila naye uraia wake unautata kwani nafikili baba yake Amini alikuwa M Sudani na mama yake ni mnyarwanda ila yeye alizaliwa uganda sasa sijui sheria ya uganda kuhusu wagombea urais wanatakiwa kuwa na uraia wa namna gani
Hata hivyo usitegemee mazuri kwani mtoto wa nyoka ni nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…