Mtoto wa baba

Mtoto wa baba

runtown

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
844
Reaction score
1,163
Hivi hizo milion kumi wanapewa timu nzima ya taifa star au ni wale waliocheza mechi tu na kama ata ni waliocheza mpira nahis wanaeza fika 13 ukifanya cros matiplication unapata milion 130 hivi hizi hela bwana mkubwa anatoa za kwake alizotunza au ni zetu walipa kodi, na hizo bia za nusu bei na miwaini ya garama atazilipaje kwa watu wenye stock zao madukani.


Tanzania ya viwonder

Sent using boeing 737 max8
 
Hasa mkuu title yako ilinivuruga kidogo akili, afadhari haikuwa hivyo nilivyowaza, back soon,
cc Mtoto wa Baba
 
daaaa nikajua mtoto wa baba ametolewa marinda
 
[emoji39]
tapatalk_1553449289955.jpeg


Sent using boeing 737 max8
 
Back
Top Bottom