Hivi hizo milion kumi wanapewa timu nzima ya taifa star au ni wale waliocheza mechi tu na kama ata ni waliocheza mpira nahis wanaeza fika 13 ukifanya cros matiplication unapata milion 130 hivi hizi hela bwana mkubwa anatoa za kwake alizotunza au ni zetu walipa kodi, na hizo bia za nusu bei na miwaini ya garama atazilipaje kwa watu wenye stock zao madukani.
Tanzania ya viwonder
Sent using boeing 737 max8